Isaya 13:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Tazama, nitawaamsha Wamedi juu yao, ambao hawaoni fedha kuwa kitu, wala hawafurahii dhahabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 “Ninawachochea Wamedi dhidi yao; watu ambao hawajali fedha wala hawavutiwi na dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 “Ninawachochea Wamedi dhidi yao; watu ambao hawajali fedha wala hawavutiwi na dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 “Ninawachochea Wamedi dhidi yao; watu ambao hawajali fedha wala hawavutiwi na dhahabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Tazama, nitawachochea Wamedi dhidi yao, ambao hawajali fedha wala hawafurahii dhahabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Tazama, nitawachochea Wamedi dhidi yao, ambao hawajali fedha wala hawafurahii dhahabu. Tazama sura |