Isaya 13:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 nitafanya wanadamu kuadimika kuliko dhahabu safi, na watu kuliko dhahabu ya Ofiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Nitawafanya watu kuwa wachache kuliko dhahabu safi; binadamu watakuwa wachache kuliko dhahabu ya Ofiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Nitawafanya watu kuwa wachache kuliko dhahabu safi; binadamu watakuwa wachache kuliko dhahabu ya Ofiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Nitawafanya watu kuwa wachache kuliko dhahabu safi; binadamu watakuwa wachache kuliko dhahabu ya Ofiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Nitawafanya wanadamu kuwa adimu kuliko dhahabu safi, watakuwa wachache sana kuliko dhahabu ya Ofiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Nitawafanya wanadamu kuwa adimu kuliko dhahabu safi, watakuwa wachache sana kuliko dhahabu ya Ofiri. Tazama sura |