Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 10:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Kwa maana Bwana, BWANA wa majeshi, atayatimiza maangamizo yaliyokusudiwa katika nchi yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Naam! Bwana, Mwenyezi-Mungu wa majeshi, atakamilisha kabisa katika nchi yote jambo aliloamua kutenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Naam! Bwana, Mwenyezi-Mungu wa majeshi, atakamilisha kabisa katika nchi yote jambo aliloamua kutenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Naam! Bwana, Mwenyezi-Mungu wa majeshi, atakamilisha kabisa katika nchi yote jambo aliloamua kutenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, atatekeleza maangamizi yaliyoamriwa juu ya nchi yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Bwana, bwana Mwenye Nguvu Zote, atatekeleza maangamizi yaliyoamriwa juu ya nchi yote.

Tazama sura Nakili




Isaya 10:23
8 Marejeleo ya Msalaba  

Avikomesha vita hata mwisho wa dunia; Avunja uta, akata mkuki, achoma moto magari.


Basi sasa msiwe watu wenye kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa; maana nimesikia kwa Bwana, BWANA wa majeshi, habari ya hukumu itakayotimizwa, nayo imekusudiwa, itakayoipata dunia yote pia.


Naye mfalme atafanya kama apendavyo; naye atajitukuza na kujiadhimisha juu ya kila mungu, naye atanena maneno ya ajabu juu ya Mungu wa miungu, naye atafanikiwa mpaka ghadhabu itakapotimia; maana yaliyokusudiwa yatafanyika.


na watu wote wanaokaa duniani wamehesabiwa kuwa si kitu, naye hufanya kama atakavyo, katika jeshi la mbinguni, na katika hao wanaokaa duniani; wala hapana awezaye kuuzuia mkono wake, wala kumwuliza, Unafanya nini wewe?


Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu.


Kwa maana Bwana atalitekeleza neno lake juu ya nchi, akilimaliza na kulikata.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo