Isaya 10:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Na miti ya msitu wake itakayosalia itakuwa michache, hata mtoto ataweza kuihesabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Miti itakayobaki msituni mwake itakuwa michache sana hata mtoto mdogo ataweza kuihesabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Miti itakayobaki msituni mwake itakuwa michache sana hata mtoto mdogo ataweza kuihesabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Miti itakayobaki msituni mwake itakuwa michache sana hata mtoto mdogo ataweza kuihesabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Nayo miti inayobaki katika misitu yake itakuwa michache sana hata mtoto mdogo angeweza kuihesabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Nayo miti inayobaki katika misitu yake itakuwa michache sana hata mtoto mdogo angeweza kuihesabu. Tazama sura |