Isaya 10:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ole wao wawekao amri zisizo za haki, na waandishi waandikao sheria za kudhulumu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ole wao wanaotunga sheria zisizo za haki, watu wanaopitisha sheria za kukandamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ole wao wanaotunga sheria zisizo za haki, watu wanaopitisha sheria za kukandamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ole wao wanaotunga sheria zisizo za haki, watu wanaopitisha sheria za kukandamiza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ole wao wawekao sheria zisizo za haki, kwa wale watoao amri za kuonea, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ole wao wawekao sheria zisizo za haki, kwa wale watoao amri za kuonea, Tazama sura |