Isaya 1:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Ng'ombe amjua bwana wake, Na punda ajua kibanda cha bwana wake; Bali Israeli hajui, watu wangu hawafikiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Ngombe humfahamu mwenyewe, punda hujua kibanda cha bwana wake; lakini Waisraeli hawajui, watu wangu, hawaelewi!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Ngombe humfahamu mwenyewe, punda hujua kibanda cha bwana wake; lakini Waisraeli hawajui, watu wangu, hawaelewi!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Ng'ombe humfahamu mwenyewe, punda hujua kibanda cha bwana wake; lakini Waisraeli hawajui, watu wangu, hawaelewi!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ng’ombe anamjua bwana wake, naye punda anajua hori la mmiliki wake, lakini Israeli hajui, watu wangu hawaelewi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ng’ombe anamjua bwana wake, naye punda anajua hori la mmiliki wake, lakini Israeli hajui, watu wangu hawaelewi.” Tazama sura |