Isaya 1:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Sayuni itakombolewa kwa hukumu, na waongofu wake kwa haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Mji Siyoni utakombolewa kwa haki, uadilifu utawaokoa watakaotubu humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Mji Siyoni utakombolewa kwa haki, uadilifu utawaokoa watakaotubu humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Mji Siyoni utakombolewa kwa haki, uadilifu utawaokoa watakaotubu humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Sayuni itakombolewa kwa haki, wale walio ndani yake waliotubu, kwa uaminifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Sayuni itakombolewa kwa haki, wale waliomo ndani yake waliotubu kwa uaminifu. Tazama sura |