Isaya 1:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 nami nitakuelekezea wewe mkono wangu, na kukutakasa takataka zako kabisa, na kukuondolea bati lako lote; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, nitawasafisha takataka zenu zote na kuwaondolea unajisi wenu wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, nitawasafisha takataka zenu zote na kuwaondolea unajisi wenu wote. Tazama sura |