Isaya 1:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Wakuu wako ni waasi, na rafiki za wezi; kila mtu hupenda rushwa, hufuata malipo; hawampatii yatima haki yake, wala maneno ya mjane hayawafikii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Viongozi wako ni waasi; wanashirikiana na wezi. Kila mmoja anapenda hongo, na kukimbilia zawadi. Hawawatetei yatima, haki za wajane si kitu kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Viongozi wako ni waasi; wanashirikiana na wezi. Kila mmoja anapenda hongo, na kukimbilia zawadi. Hawawatetei yatima, haki za wajane si kitu kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Viongozi wako ni waasi; wanashirikiana na wezi. Kila mmoja anapenda hongo, na kukimbilia zawadi. Hawawatetei yatima, haki za wajane si kitu kwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Watawala wenu ni waasi, rafiki wa wezi, wote wanapenda rushwa na kukimbilia hongo. Hawatetei yatima; shauri la mjane haliletwi mbele yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Watawala wenu ni waasi, rafiki wa wevi, wote wanapenda rushwa na kukimbilia hongo. Hawatetei yatima, shauri la mjane haliletwi mbele yao lisikilizwe. Tazama sura |