Hosea 9:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Naye Efraimu, utukufu wake utarukia mbali kama ndege, uzazi hautakuwako, wala aliye na mimba, wala achukuaye mimba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Fahari ya Efraimu itatoweka kama ndege; watoto hawatazaliwa tena, hakutakuwa na watoto wa kuzaliwa, wala hakutakuwa na kuchukuliwa mimba! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Fahari ya Efraimu itatoweka kama ndege; watoto hawatazaliwa tena, hakutakuwa na watoto wa kuzaliwa, wala hakutakuwa na kuchukuliwa mimba! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Fahari ya Efraimu itatoweka kama ndege; watoto hawatazaliwa tena, hakutakuwa na watoto wa kuzaliwa, wala hakutakuwa na kuchukuliwa mimba! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Utukufu wa Efraimu utaruka kama ndege: hakuna kuzaa, hakuna kubeba mimba, hakuna kuchukua mimba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Utukufu wa Efraimu utaruka kama ndege: hakuna kuzaa, hakuna kuchukua mimba, hakuna kutunga mimba. Tazama sura |