Hosea 8:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Israeli ameyatupa yaliyo mema; adui watamfuatia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Lakini Israeli amepuuza mambo mema, kwa hiyo, sasa adui watamfuatia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Lakini Israeli amepuuza mambo mema, kwa hiyo, sasa adui watamfuatia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Lakini Israeli amepuuza mambo mema, kwa hiyo, sasa adui watamfuatia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Lakini Israeli amekataa lile lililo jema, adui atamfuatia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Lakini Israeli amekataa lile lililo jema, adui atamfuatia. Tazama sura |