Hosea 8:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Tia baragumu kinywani mwako. Kama tai, anakuja juu ya nyumba ya BWANA; kwa sababu wamelivunja agano langu, wameiasi sheria yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 “Pigeni baragumu! Adui anakuja kama tai kuivamia nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wamelivunja agano langu na kuiasi sheria yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 “Pigeni baragumu! Adui anakuja kama tai kuivamia nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wamelivunja agano langu na kuiasi sheria yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 “Pigeni baragumu! Adui anakuja kama tai kuivamia nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kwa kuwa wamelivunja agano langu na kuiasi sheria yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 “Wekeni tarumbeta midomoni mwenu! Tai yuko juu ya nyumba ya Mwenyezi Mungu kwa sababu watu wamevunja agano langu, wameasi dhidi ya sheria yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 “Wekeni tarumbeta midomoni mwenu! Tai yuko juu ya nyumba ya bwana kwa sababu watu wamevunja Agano langu, wameasi dhidi ya sheria yangu. Tazama sura |