Hosea 7:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Na kiburi cha Israeli chamshuhudia mbele ya uso wake; ila hata hivyo hawakumrudia BWANA, Mungu wao, wala hawakumtafuta kwa ajili ya hayo yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kiburi cha Waisraeli chashuhudia dhidi yao, hawanirudii mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; wala hawanitafuti kwa matukio hayo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kiburi cha Waisraeli chashuhudia dhidi yao, hawanirudii mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; wala hawanitafuti kwa matukio hayo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kiburi cha Waisraeli chashuhudia dhidi yao, hawanirudii mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; wala hawanitafuti kwa matukio hayo yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yake, lakini pamoja na haya yote harudi kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wake, wala kumtafuta. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yake, lakini pamoja na haya yote harudi kwa bwana Mwenyezi Mungu wake wala kumtafuta. Tazama sura |