Hosea 6:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Tena, Ee Yuda, wewe umeandikiwa mavuno, hapo nitakapowarudisha wafungwa wa watu wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Nawe Yuda hali kadhalika, nimekupangia wakati utakapovuna adhabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Nawe Yuda hali kadhalika, nimekupangia wakati utakapovuna adhabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Nawe Yuda hali kadhalika, nimekupangia wakati utakapovuna adhabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 “Pia kwa ajili yako, Yuda, mavuno yameamriwa. “Wakati wowote ningerejesha neema ya watu wangu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 “Pia kwa ajili yako, Yuda, mavuno yameamriwa. “Wakati wowote ningerejesha neema ya watu wangu, Tazama sura |