Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hosea 5:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Efraimu ameonewa, amesetwa katika hukumu, kwa sababu alikuwa radhi kufuata ubatili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Efraimu ameteswa, haki zake zimetwaliwa; kwani alipania kufuata upuuzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Efraimu ameteswa, haki zake zimetwaliwa; kwani alipania kufuata upuuzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Efraimu ameteswa, haki zake zimetwaliwa; kwani alipania kufuata upuuzi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Efraimu amedhulumiwa, amekanyagwa katika hukumu kwa kuwa amekusudia kufuatia sanamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Efraimu ameonewa, amekanyagwa katika hukumu kwa kuwa amekusudia kufuatia sanamu.

Tazama sura Nakili




Hosea 5:11
7 Marejeleo ya Msalaba  

Katika siku za Peka mfalme wa Israeli akaja Tiglath-pileseri mfalme wa Ashuru, akatwaa Iyoni, na Abel-beth-maaka, na Yanoa, na Kedeshi, na Hazori, na Gileadi, na Galilaya, nchi yote ya Naftali; akawahamisha hao watu mpaka Ashuru.


Efraimu amepigwa; mzizi wao umekauka; hawatazaa matunda; naam, wajapozaa, nitaliua tunda la tumbo lipendwalo sana.


Kwa maana amri za Omri ndizo zishikwazo, na matendo yote ya nyumba ya Ahabu, nanyi mnakwenda katika mashauri yao; ili nikufanye kuwa ukiwa, na wenyeji waliomo humo kuwa zomeo; nanyi mtayachukua matukano waliyotukanwa watu wangu.


Matunda ya nchi yako, na taabu yako yote, vitaliwa na taifa usilolijua; utaonewa tu, na kupondwa chini daima;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo