Hosea 5:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Wakuu wa Yuda ni kama watu waondoao alama ya mpaka; nitawamwagia ghadhabu yangu kama maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Viongozi wa Yuda wamekuwa wenye kubadili mipaka ya ardhi. Mimi nitawamwagia hasira yangu kama maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Viongozi wa Yuda wamekuwa wenye kubadili mipaka ya ardhi. Mimi nitawamwagia hasira yangu kama maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Viongozi wa Yuda wamekuwa wenye kubadili mipaka ya ardhi. Mimi nitawamwagia hasira yangu kama maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Viongozi wa Yuda ni kama wale wanaosogeza mawe ya mpaka. Nitamwaga ghadhabu yangu juu yao kama mafuriko ya maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Viongozi wa Yuda ni kama wale wanaosogeza mawe ya mpaka. Nitamwaga ghadhabu yangu juu yao kama mafuriko ya maji. Tazama sura |