Hosea 4:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Lakini asishindane mtu, wala mtu asikemee; maana watu wako ni kama wao washindanao na kuhani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Lakini watu wasilaumiwe, wasishutumiwe; maana mimi nakushutumu wewe kuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Lakini watu wasilaumiwe, wasishutumiwe; maana mimi nakushutumu wewe kuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Lakini watu wasilaumiwe, wasishutumiwe; maana mimi nakushutumu wewe kuhani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Lakini mtu yeyote na asilete shtaka, mtu yeyote na asimlaumu mwenzake, kwa maana watu wako ni kama wale waletao mashtaka dhidi ya kuhani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Lakini mtu awaye yote na asilete shtaka, mtu yeyote na asimlaumu mwenzake, kwa maana watu wako ni kama wale waletao mashtaka dhidi ya kuhani. Tazama sura |