Hosea 4:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Hapana neno ila kuapa kwa uongo, na kuvunja ahadi, na kuua, na kuiba, na kuzini; huruka mpaka, na kumwaga damu mfululizo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Kuapa, uongo, mauaji, wizi na uzinzi huzuka humo. Umwagaji damu hufuatana mfululizo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Kuapa, uongo, mauaji, wizi na uzinzi huzuka humo. Umwagaji damu hufuatana mfululizo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Kuapa, uongo, mauaji, wizi na uzinzi huzuka humo. Umwagaji damu hufuatana mfululizo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Kuna kulaani tu, uongo na uuaji, wizi na uzinzi, bila kuwa na mipaka, nao umwagaji damu mmoja baada ya mwingine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Kuna kulaani tu, uongo na uuaji, wizi na uzinzi, bila kuwa na mipaka, nao umwagaji damu mmoja baada ya mwingine. Tazama sura |