Hosea 3:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Basi nikajinunulia mwanamke huyo kwa vipande kumi na vitano vya fedha, na homeri moja ya shayiri, na nusu ya homeri ya shayiri; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Basi, nikamnunua huyo mwanamke kwa vipande kumi na vitano vya fedha na magunia mengi ya shayiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Basi, nikamnunua huyo mwanamke kwa vipande kumi na vitano vya fedha na magunia mengi ya shayiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Basi, nikamnunua huyo mwanamke kwa vipande kumi na vitano vya fedha na magunia mengi ya shayiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Basi nilimnunua huyo mwanamke kwa shekeli kumi na tano za fedha, pia kwa kiasi kama cha homeri moja na nusu ya shayiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Basi nilimnunua huyo mwanamke kwa shekeli kumi na tano za fedha, pia kwa kiasi kama cha homeri moja na nusu ya shayiri. Tazama sura |