Hosea 2:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Kwa maana nitayaondoa majina ya Mabaali kinywani mwake, wala hawatatajwa tena kwa majina yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Maana, nitalifanya jina la Baali lisitamkike tena kinywani mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Maana, nitalifanya jina la Baali lisitamkike tena kinywani mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Maana, nitalifanya jina la Baali lisitamkike tena kinywani mwako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Nitaondoa majina ya Mabaali kutoka mdomoni mwake, wala hataomba tena kwa majina yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Nitaondoa majina ya Mabaali kutoka midomoni mwake, wala hataomba tena kwa majina yao. Tazama sura |