Hosea 13:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Mimi nilikujua katika jangwa, katika nchi yenye ukame. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Ni mimi niliyewatunza mlipokuwa jangwani, katika nchi iliyokuwa ya ukame. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Ni mimi niliyewatunza mlipokuwa jangwani, katika nchi iliyokuwa ya ukame. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Ni mimi niliyewatunza mlipokuwa jangwani, katika nchi iliyokuwa ya ukame. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Niliwatunza huko jangwani, katika nchi yenye joto liunguzalo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Niliwatunza huko jangwani, katika nchi yenye joto liunguzalo. Tazama sura |