Hosea 12:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Na kwa nabii BWANA alimtoa Israeli katika Misri, Na kwa mkono wa nabii alihifadhiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kwa nabii Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri, na kwa nabii Mungu aliwahifadhi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kwa nabii Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri, na kwa nabii Mungu aliwahifadhi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kwa nabii Mwenyezi-Mungu aliwatoa Waisraeli nchini Misri. na kwa nabii Mungu aliwahifadhi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mwenyezi Mungu alimtumia nabii kumpandisha Israeli kutoka Misri, kupitia kwa nabii alimtunza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 bwana alimtumia nabii kumpandisha Israeli kutoka Misri, kwa njia ya nabii alimtunza. Tazama sura |