Hosea 12:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Tena nimenena na hao manabii, nami nimeongeza maono, na kwa utumishi wa manabii nimetumia mifano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mimi niliongea na manabii; ni mimi niliyewapa maono mengi, na kwa njia yao natangaza mpango wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mimi niliongea na manabii; ni mimi niliyewapa maono mengi, na kwa njia yao natangaza mpango wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mimi niliongea na manabii; ni mimi niliyewapa maono mengi, na kwa njia yao natangaza mpango wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Niliongea na manabii, nikawapa maono mengi na kusema mifano kupitia wao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Niliongea na manabii, nikawapa maono mengi na kusema mifano kupitia wao.” Tazama sura |