Hosea 1:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Basi, akiisha kumwachisha Lo-ruhama kunyonya, akachukua mimba, akazaa mtoto wa kiume. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Gomeri alipomwachisha kunyonya “Asiyehurumiwa,” alipata mimba tena, akamzalia Hosea mtoto mwingine wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Gomeri alipomwachisha kunyonya “Asiyehurumiwa,” alipata mimba tena, akamzalia Hosea mtoto mwingine wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Gomeri alipomwachisha kunyonya “Asiyehurumiwa,” alipata mimba tena, akamzalia Hosea mtoto mwingine wa kiume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Baada ya Gomeri kumwachisha Lo-Ruhama kunyonya, Gomeri alipata mwana mwingine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Baada ya Gomeri kumwachisha Lo-Ruhama kunyonya, Gomeri alipata mwana mwingine. Tazama sura |