Hesabu 9:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Siku ya kumi na nne ya mwezi huu, wakati wa jioni, mtaiadhimisha kwa wakati wake ulioagizwa; kwa amri zake zote, na kama hukumu zake zote zilivyo, ndivyo mtakavyoisherehekea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Hii itakuwa siku ya kumi na nne ya mwezi huu; wakati wa jioni watafanya hivyo kufuatana na masharti na maagizo yake yote.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Hii itakuwa siku ya kumi na nne ya mwezi huu; wakati wa jioni watafanya hivyo kufuatana na masharti na maagizo yake yote.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Hii itakuwa siku ya kumi na nne ya mwezi huu; wakati wa jioni watafanya hivyo kufuatana na masharti na maagizo yake yote.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Adhimisheni wakati ulioamriwa, yaani wakati wa kuzama jua siku ya kumi na nne ya mwezi huu, kulingana na desturi zake zote na masharti yake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Adhimisheni wakati ulioamriwa, yaani wakati wa kuzama jua siku ya kumi na nne ya mwezi huu, kufuatana na desturi zake zote na masharti yake.” Tazama sura |