Hesabu 9:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 bali lilipoinuliwa walisafiri. Kwa amri ya BWANA walipiga kambi yao, na kwa amri ya BWANA walisafiri; walimtii BWANA, kwa mkono wa Musa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walipiga kambi na kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walisafiri. Walishika agizo la Mwenyezi-Mungu kama alivyotoa amri yake kwa njia ya Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walipiga kambi na kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walisafiri. Walishika agizo la Mwenyezi-Mungu kama alivyotoa amri yake kwa njia ya Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walipiga kambi na kwa agizo la Mwenyezi-Mungu walisafiri. Walishika agizo la Mwenyezi-Mungu kama alivyotoa amri yake kwa njia ya Mose. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kwa amri ya Mwenyezi Mungu walipiga kambi, na kwa amri ya Mwenyezi Mungu waliondoka. Walitii amri ya Mwenyezi Mungu, kufuatana na agizo lake kupitia Musa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kwa amri ya bwana walipiga kambi, na kwa amri ya bwana waliondoka. Walitii amri ya bwana, kufuatana na agizo lake kupitia Musa. Tazama sura |