Hesabu 8:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Watwae Walawi na kuwaondoa kati ya wana wa Israeli, kisha uwatakase. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 “Watenge Walawi kutoka Waisraeli, uwatakase. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Watenge Walawi kutoka Waisraeli, uwatakase. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Watenge Walawi kutoka Waisraeli, uwatakase. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 “Watwae Walawi kutoka miongoni mwa Waisraeli wengine na uwatakase. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “Watwae Walawi kutoka miongoni mwa Waisraeli wengine na uwatakase kwa kawaida ya ibada. Tazama sura |