Hesabu 7:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Wana wa Gershoni akawapa magari mawili na ng'ombe wanne, kama utumishi wao ulivyokuwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wagershoni wakapewa magari mawili na mafahali wanne, kwa kadiri ya huduma yao, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wagershoni wakapewa magari mawili na mafahali wanne, kwa kadiri ya huduma yao, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wagershoni wakapewa magari mawili na mafahali wanne, kwa kadiri ya huduma yao, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Aliwapa Wagershoni magari mawili ya kukokotwa na maksai wanne, kama walivyohitaji kwa kazi yao, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Aliwapa Wagershoni magari mawili ya kukokotwa na maksai wanne, kama walivyohitaji kwa kazi yao, Tazama sura |