Hesabu 7:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Basi aliyetoa matoleo yake siku ya kwanza ni Nashoni mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Basi, yule aliyetoa sadaka siku ya kwanza, alikuwa Nashoni mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Basi, yule aliyetoa sadaka siku ya kwanza, alikuwa Nashoni mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Basi, yule aliyetoa sadaka siku ya kwanza, alikuwa Nashoni mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Yule ambaye alileta sadaka yake siku ya kwanza alikuwa Nashoni, mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Yule ambaye alileta sadaka yake siku ya kwanza alikuwa Nashoni, mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda. Tazama sura |