Hesabu 7:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Watasongeza matoleo yao, kila mkuu kwa siku yake, kwa ajili ya kuiweka wakfu madhabahu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Kila siku kiongozi mmoja atatoa sadaka yake kwa ajili ya kuiweka wakfu madhabahu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Kila siku kiongozi mmoja atatoa sadaka yake kwa ajili ya kuiweka wakfu madhabahu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose, “Kila siku kiongozi mmoja atatoa sadaka yake kwa ajili ya kuiweka wakfu madhabahu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kwa maana Mwenyezi Mungu alikuwa amemwambia Musa, “Kila siku kiongozi mmoja ataleta sadaka yake ili kuwekwa wakfu madhabahu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kwa maana bwana alikuwa amemwambia Musa, “Kila siku kiongozi mmoja ataleta sadaka yake ili kuwekwa wakfu madhabahu.” Tazama sura |