Hesabu 6:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Ndivyo watakavyoweka jina langu juu ya wana wa Israeli; nami nitawabariki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 “Ndivyo watakavyotamka jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 “Ndivyo watakavyotamka jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 “Ndivyo watakavyotamka jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 “Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 “Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.” Tazama sura |
Tena ni taifa lipi duniani lililo kama watu wako, kama Israeli, ambalo Mungu alikwenda kuwakomboa kwa ajili yake, wawe watu wake mwenyewe, akajifanyie jina, na kutenda mambo makuu kwa ajili yenu, na mambo ya kuogofya kwa ajili ya nchi yako, mbele ya watu wako, uliowakomboa kutoka Misri wawe wako, kutoka katika mataifa na miungu yao.