Hesabu 6:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Na kuhani atavisongeza mbele za BWANA, naye atasongeza sadaka yake ya dhambi, na sadaka yake ya kuteketezwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 “Kuhani atamtolea Mwenyezi-Mungu vitu vyote hivi pamoja na sadaka yake ya dhambi na sadaka yake ya kuteketezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 “Kuhani atamtolea Mwenyezi-Mungu vitu vyote hivi pamoja na sadaka yake ya dhambi na sadaka yake ya kuteketezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 “Kuhani atamtolea Mwenyezi-Mungu vitu vyote hivi pamoja na sadaka yake ya dhambi na sadaka yake ya kuteketezwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “ ‘Kuhani atavileta vitu hivyo mbele za Mwenyezi Mungu na kufanya sadaka ya dhambi na sadaka ya kuteketezwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “ ‘Kuhani atavileta vitu hivyo mbele za bwana na kufanya sadaka ya dhambi na sadaka ya kuteketezwa. Tazama sura |