Hesabu 6:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Tena siku ya nane ataleta hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, aende nao kwa kuhani, hata mlangoni pa hema ya kukutania; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Katika siku ya nane atapeleka hua wawili au makinda mawili ya njiwa kwa kuhani penye lango la hema la mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Katika siku ya nane atapeleka hua wawili au makinda mawili ya njiwa kwa kuhani penye lango la hema la mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Katika siku ya nane atapeleka hua wawili au makinda mawili ya njiwa kwa kuhani penye lango la hema la mkutano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kisha siku ya nane ni lazima alete hua wawili au makinda wawili wa njiwa kwa kuhani katika mlango wa Hema la Kukutania. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kisha siku ya nane ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa kwa kuhani katika mlango wa Hema la Kukutania. Tazama sura |