Hesabu 5:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Na huyo mume atakuwa hana uovu, na mwanamke atauchukua uovu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Mumewe hatakuwa na hatia yoyote, lakini mwanamke atawajibika kwa uovu wake.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Mumewe hatakuwa na hatia yoyote, lakini mwanamke atawajibika kwa uovu wake.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Mumewe hatakuwa na hatia yoyote, lakini mwanamke atawajibika kwa uovu wake.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Mume atakuwa hana hatia ya kosa lolote, bali mwanamke atayachukua matokeo ya dhambi yake.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Mume atakuwa hana hatia ya kosa lolote, bali mwanamke atayachukua matokeo ya dhambi yake.’ ” Tazama sura |