Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Hesabu 5:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 au, roho ya wivu ikimwingia mtu mume, naye akamwonea wivu mkewe; ndipo atakapomweka huyo mwanamke mbele za BWANA, na kuhani atatenda juu yake sheria hii yote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 au wakati mwanamume ashikwapo na wivu na kumshuku mkewe. Atamsimamisha mwanamke huyo mbele ya Mwenyezi-Mungu, na kuhani atatekeleza masharti yote ya sheria hii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 au wakati mwanamume ashikwapo na wivu na kumshuku mkewe. Atamsimamisha mwanamke huyo mbele ya Mwenyezi-Mungu, na kuhani atatekeleza masharti yote ya sheria hii.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 au wakati mwanamume ashikwapo na wivu na kumshuku mkewe. Atamsimamisha mwanamke huyo mbele ya Mwenyezi-Mungu, na kuhani atatekeleza masharti yote ya sheria hii.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 au hisia za wivu zinapomjia mwanaume kwa sababu ya kumshuku mkewe. Kuhani atamfanya huyo mwanamke kusimama mbele za Mwenyezi Mungu na atatumia sheria hii yote kwa huyo mwanamke.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 au hisia za wivu zinapomjia mwanaume kwa sababu ya kumshuku mkewe. Kuhani atamfanya huyo mwanamke kusimama mbele za bwana na atatumia sheria hii yote kwa huyo mwanamke.

Tazama sura Nakili

Hesabu 5:30
3 Marejeleo ya Msalaba  

kisha mumewe akashikwa na roho ya wivu, akamwonea wivu mkewe, naye akawa najisi huyo mwanamke; au kama akiingiwa na roho ya wivu, akamwonea wivu mkewe, naye hakuwa na unajisi huyo mke;

Hii ndiyo sheria ya wivu, mwanamke, ambaye yu chini ya mumewe, akikengeuka, na kupata unajisi;

Na huyo mume atakuwa hana uovu, na mwanamke atauchukua uovu wake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo