Hesabu 5:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Kisha kuhani ataziandika laana hizo ndani ya kitabu, na kuzifuta katika maji ya uchungu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 “Kisha kuhani ataandika laana hizi kitabuni na kuzioshea katika maji machungu; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 “Kisha kuhani ataandika laana hizi kitabuni na kuzioshea katika maji machungu; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 “Kisha kuhani ataandika laana hizi kitabuni na kuzioshea katika maji machungu; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 “ ‘Kuhani ataandika laana hizi kwenye kitabu, kisha atazioshea laana hizo kwenye yale maji machungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 “ ‘Kuhani ataandika laana hizi kwenye kitabu, kisha atazioshea laana hizo kwenye yale maji machungu. Tazama sura |