Hesabu 4:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Huu ni utumishi wa jamaa za wana wa Wagershoni katika hema ya kukutania; na ulinzi utakuwa chini ya mkono wa Ithamari mwana wa Haruni kuhani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Hii ndiyo huduma ya jamaa za Gershoni kwenye hema la mkutano; watafanya kazi chini ya uongozi wa Ithamari mwana wa kuhani Aroni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Hii ndiyo huduma ya jamaa za Gershoni kwenye hema la mkutano; watafanya kazi chini ya uongozi wa Ithamari mwana wa kuhani Aroni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Hii ndiyo huduma ya jamaa za Gershoni kwenye hema la mkutano; watafanya kazi chini ya uongozi wa Ithamari mwana wa kuhani Aroni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Hii ndiyo huduma ya koo za Wagershoni katika Hema la Kukutania. Wajibu wao utakuwa chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani Haruni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Hii ndiyo huduma ya koo za Wagershoni katika Hema la Kukutania. Wajibu wao utakuwa chini ya maelekezo ya Ithamari mwana wa kuhani Haruni. Tazama sura |