Hesabu 4:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 lakini wasiingie wao kupaona mahali pale patakatifu, hata kwa dakika moja, ili wasife. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Lakini wazawa wa Kohathi hawataingia kamwe kuvitazama vitu hivyo vitakatifu sana; wakifanya hivyo watakufa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Lakini wazawa wa Kohathi hawataingia kamwe kuvitazama vitu hivyo vitakatifu sana; wakifanya hivyo watakufa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Lakini wazawa wa Kohathi hawataingia kamwe kuvitazama vitu hivyo vitakatifu sana; wakifanya hivyo watakufa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Lakini Wakohathi hawaruhusiwi kuingia ndani ili kuangalia vitu vitakatifu, hata kwa kitambo kidogo, la sivyo watakufa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Lakini Wakohathi hawaruhusiwi kuingia ndani ili kuangalia vitu vitakatifu, hata kwa kitambo kidogo, la sivyo watakufa.” Tazama sura |