Hesabu 36:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 kwa kuwa Mala, na Tirza, na Hogla, na Milka, na Nuhu, binti za Selofehadi waliolewa na wanaume, wana wa ndugu za baba yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Wote: Mala, Tirza, Hogla, Milka na Noa wakaolewa na binamu zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Wote: Mala, Tirza, Hogla, Milka na Noa wakaolewa na binamu zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Wote: Mala, Tirza, Hogla, Milka na Noa wakaolewa na binamu zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Binti za Selofehadi, ambao ni Mahla, Tirsa, Hogla, Milka na Noa, wakaolewa na wana wa ndugu za baba yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Binti za Selofehadi, ambao ni Mahla, Tirsa, Hogla, Milka na Noa, wakaolewa na waume, wana wa ndugu za baba yao. Tazama sura |