Hesabu 35:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Miji yote mtakayowapa hao Walawi jumla yake itakuwa miji arubaini na minane; mtawapa miji hiyo pamoja na malisho yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Jumla ya miji mtakayowapa Walawi itakuwa arubaini na minane; mtawapa miji hiyo pamoja na sehemu za malisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Jumla ya miji mtakayowapa Walawi itakuwa arubaini na minane; mtawapa miji hiyo pamoja na sehemu za malisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Jumla ya miji mtakayowapa Walawi itakuwa arubaini na minane; mtawapa miji hiyo pamoja na sehemu za malisho yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kwa jumla inawapasa kuwapa Walawi miji arobaini na nane, pamoja na maeneo ya malisho yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kwa jumla inawapasa kuwapa Walawi miji arobaini na minane, pamoja na maeneo ya malisho yao. Tazama sura |