Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Hesabu 35:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

30 Mtu yeyote atakayemwua mtu, huyo mwuaji atauawa kwa vinywa vya mashahidi; lakini shahidi mmoja hatashuhudia juu ya mtu akauliwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 “Mtu yeyote atakayeua mtu, atahukumiwa kifo kutokana na ushahidi wa mashahidi wawili au zaidi; mtu yeyote hawezi kuhukumiwa kifo kutokana na ushahidi wa mtu mmoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 “Mtu yeyote atakayeua mtu, atahukumiwa kifo kutokana na ushahidi wa mashahidi wawili au zaidi; mtu yeyote hawezi kuhukumiwa kifo kutokana na ushahidi wa mtu mmoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 “Mtu yeyote atakayeua mtu, atahukumiwa kifo kutokana na ushahidi wa mashahidi wawili au zaidi; mtu yeyote hawezi kuhukumiwa kifo kutokana na ushahidi wa mtu mmoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 “ ‘Yeyote anayeua mtu atauawa kama muuaji ikiwa tu kuna ushuhuda wa mashahidi. Lakini hakuna mtu atakayeuawa kwa ushuhuda wa shahidi mmoja tu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 “ ‘Yeyote anayeua mtu atauawa kama muuaji ikiwa tu kuna ushuhuda wa mashahidi. Lakini hakuna mtu atakayeuawa kwa ushuhuda wa shahidi mmoja tu.

Tazama sura Nakili

Hesabu 35:30
14 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu yeyote ampigaye mtu, hata akafa, hana budi atauawa huyo.

Na mtu ampigaye mtu hadi akafa, lazima atauawa;

Lakini kama alimpiga kwa chombo cha chuma, akafa, ni mwuaji huyo; mwuaji hakika yake atauawa.

Tena, msipokee fidia kwa ajili ya uhai wa mwuaji, ambaye amekuwa na hatia ya mauti; Lakini lazima atauawa.

La, kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike.

Je! Torati yetu humhukumu mtu kabla ya kumsikia kwanza, na kujua atendavyo?

Hii ndiyo mara yangu ya tatu kuja kwenu. Kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno litathibitishwa.

Shahidi mmoja asimwinukie mtu awaye yote kumshuhudia kwa uovu wowote, wala kwa dhambi yoyote, katika makosa akosayo yoyote; jambo na lithibitishwe kwa vinywa vya mashahidi wawili, au watatu.

Na alaaniwe ampigaye mwenzake kwa siri. Na watu wote waseme Amina.

Usikubali mashitaka juu ya mzee, ila kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu.

Mtu aliyeidharau Sheria ya Musa hufa pasipo huruma, kwa neno la mashahidi wawili au watatu.

Nami nitawaruhusu mashahidi wangu wawili, nao watatoa unabii siku elfu na mia mbili na sitini, wakiwa wamevikwa magunia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo