Hesabu 35:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Mambo haya yatakuwa ni amri ya hukumu kwenu, katika vizazi vyenu vyote, katika makazi yenu yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 “Sheria hizi zitatumika katika vizazi vyenu vyote, mahali popote mtakapokaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 “Sheria hizi zitatumika katika vizazi vyenu vyote, mahali popote mtakapokaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 “Sheria hizi zitatumika katika vizazi vyenu vyote, mahali popote mtakapokaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 “ ‘Hizi ndizo kanuni za sheria zitakazohitajiwa kwenu na katika vizazi vyenu vijavyo, popote mtakapoishi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 “ ‘Hizi ndizo kanuni za sheria zitakazohitajiwa kwenu na katika vizazi vyenu vijavyo, popote mtakapoishi. Tazama sura |