Hesabu 35:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Lakini kama mwenye kumwua mtu akienda wakati wowote kupita mpaka wa huo mji wa makimbilio, alioukimbilia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Lakini huyo aliyeua akitoka nje ya mji aliokimbilia wakati wowote ule, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Lakini huyo aliyeua akitoka nje ya mji aliokimbilia wakati wowote ule, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Lakini huyo aliyeua akitoka nje ya mji aliokimbilia wakati wowote ule, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 “ ‘Lakini kama mshtakiwa atatoka nje ya mipaka ya mji wa makimbilio ambao amekimbilia, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 “ ‘Lakini kama mshtakiwa atatoka nje ya mipaka ya mji wa makimbilio ambao amekimbilia, Tazama sura |