Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 35:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 ndipo mkutano utaamua kati ya huyo aliyempiga mtu na huyo atakayelipiza kisasi cha damu, kama hukumu hizi zilivyo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 basi, jumuiya itaamua kati ya huyo mwuaji na jamaa ya mtu aliyeuawa anayetaka kulipiza kisasi, kulingana na sheria hizi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 basi, jumuiya itaamua kati ya huyo mwuaji na jamaa ya mtu aliyeuawa anayetaka kulipiza kisasi, kulingana na sheria hizi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 basi, jumuiya itaamua kati ya huyo mwuaji na jamaa ya mtu aliyeuawa anayetaka kulipiza kisasi, kulingana na sheria hizi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 kusanyiko lazima waamue kati yake na mlipiza kisasi wa damu kufuatana na sheria hizi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 kusanyiko lazima liamue kati yake na mlipiza kisasi wa damu kufuatana na sheria hizi.

Tazama sura Nakili




Hesabu 35:24
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na hiyo miji itakuwa kwenu kuwa makimbilio, kumkimbia mwenye kulipiza kisasi, ili asiuawe mwenye kumwua mtu, hata atakaposimama mbele ya mkutano ahukumiwe.


au kwa jiwe liwalo lote, ambalo kwa kupigwa kwalo humkini mtu kufa, bila kumwona akamtupia hata akafa, naye hakuwa adui yake, wala hakumtakia madhara;


nao mkutano utamwokoa yule aliyemwua mtu na mkono wa mwenye kulipiza kisasi cha damu; tena mkutano utamrejesha katika mji wake wa makimbilio, aliokuwa anaukimbilia; naye atakaa humo hata kifo chake kuhani mkuu, aliyepakwa mafuta matakatifu.


Naye atakaa katika mji huo, hadi hapo atakaposimama mbele ya mkutano kuhukumiwa, hadi kifo chake kuhani mkuu mwenye kuwapo siku hizo; ndipo yule mwuaji atarudi, na kuuendea mji wake mwenyewe, na nyumba yake mwenyewe, hadi mji huo alioutoka hapo alipokimbia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo