Hesabu 35:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Tena kama alimsukuma kwa kumchukia au kama alimtupia kitu kwa kumvizia, hadi akafa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 “Hali kadhalika, kama mtu anamchukia mwenzake halafu, akamsukuma au kumtupia kitu kwa kumvizia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 “Hali kadhalika, kama mtu anamchukia mwenzake halafu, akamsukuma au kumtupia kitu kwa kumvizia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 “Hali kadhalika, kama mtu anamchukia mwenzake halafu, akamsukuma au kumtupia kitu kwa kumvizia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Ikiwa mtu ana chuki ya siku nyingi na mwenzake akamsukuma au akamtupia kitu kwa kukusudia naye akafa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Ikiwa mtu ana chuki ya siku nyingi na mwenzake akamsukuma au akamtupia kitu kwa kukusudia naye akafa, Tazama sura |