Hesabu 35:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Lakini kama alimpiga kwa chombo cha chuma, akafa, ni mwuaji huyo; mwuaji hakika yake atauawa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 “Lakini mtu akimpiga mwenzake kwa kitu cha chuma, akafa, mtu huyo ni mwuaji na ni lazima auawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 “Lakini mtu akimpiga mwenzake kwa kitu cha chuma, akafa, mtu huyo ni mwuaji na ni lazima auawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 “Lakini mtu akimpiga mwenzake kwa kitu cha chuma, akafa, mtu huyo ni mwuaji na ni lazima auawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 “ ‘Kama mtu akimpiga mwenzake kwa chuma naye mtu huyo akafa, mtu huyo ni muuaji; muuaji sharti atauawa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 “ ‘Kama mtu akimpiga mwenzake kwa chuma naye mtu huyo akafa, mtu huyo ni muuaji; muuaji sharti atauawa. Tazama sura |