Hesabu 34:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Kisha mpaka wenu wa upande wa magharibi mtakuwa na bahari kubwa na mpaka wake; huu ndio mpaka wenu upande wa magharibi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 “Mpaka wenu wa upande wa magharibi utakuwa bahari ya Mediteranea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Mpaka wenu wa upande wa magharibi utakuwa bahari ya Mediteranea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Mpaka wenu wa upande wa magharibi utakuwa bahari ya Mediteranea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mpaka wenu wa magharibi utakuwa Bahari ya Kati. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa magharibi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mpaka wenu wa magharibi utakuwa Bahari ya Kati. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa magharibi. Tazama sura |