Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 34:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 hayo makabila mawili na nusu ya kabila wamekwisha pata urithi wao huko ng'ambo ya pili ya Yordani, hapo Yeriko, upande wa mashariki, kuelekea maawio ya jua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Makabila hayo mawili na nusu yamepata urithi wao ngambo ya mto Yordani upande wa mashariki, mkabala wa Yeriko, mawioni.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Makabila hayo mawili na nusu yamepata urithi wao ngambo ya mto Yordani upande wa mashariki, mkabala wa Yeriko, mawioni.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Makabila hayo mawili na nusu yamepata urithi wao ng'ambo ya mto Yordani upande wa mashariki, mkabala wa Yeriko, mawioni.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Haya makabila mawili na nusu wamekwishapokea urithi wao upande wa mashariki wa Yordani ng’ambo ya Yeriko, kuelekea mawio ya jua.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Haya makabila mawili na nusu wamekwishapokea urithi wao upande wa mashariki wa Yordani ng’ambo ya Yeriko, kuelekea mawio ya jua.”

Tazama sura Nakili




Hesabu 34:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

Tutavuka, tukiwa tumevaa silaha zetu, mbele za BWANA, kuingia nchi ya Kanaani, nayo milki ya urithi wetu itakuwa ng'ambo ya pili ya Yordani.


Basi Musa akawapa wao, maana, wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, na hiyo nusu ya kabila la Manase, mwana wa Yusufu, ufalme wa Sihoni mfalme wa Waamori, na ufalme wa Ogu mfalme wa Bashani, hiyo nchi, kama miji yao ilivyokuwa, pamoja na mipaka yake, maana, miji ya hiyo nchi iliyozunguka kotekote.


kwa kuwa kabila la wana wa Reubeni kwa nyumba za baba zao, na kabila la wana wa Gadi kwa nyumba za baba zao, wamekwisha pata, na hiyo nusu ya kabila la Manase wamekwisha pata urithi wao;


Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,


ili kufukuza mbele yako mataifa, walio wakubwa, wenye nguvu kukupita wewe, ili kukuingiza, na kukupa nchi yao iwe urithi, kama ilivyo leo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo