Hesabu 34:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Kisha Musa akawaagiza wana wa Israeli, akisema, Hii ndiyo nchi mtakayoirithi kwa kupiga kura, ambayo BWANA ameagiza wapewe watu wa yale makabila tisa, na nusu ya kabila; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Basi, Mose akawaambia Waisraeli, “Hii ndiyo nchi mtakayoirithi kwa kupiga kura, nchi ambayo Mwenyezi-Mungu ameagiza yapewe makabila tisa na nusu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Basi, Mose akawaambia Waisraeli, “Hii ndiyo nchi mtakayoirithi kwa kupiga kura, nchi ambayo Mwenyezi-Mungu ameagiza yapewe makabila tisa na nusu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Basi, Mose akawaambia Waisraeli, “Hii ndiyo nchi mtakayoirithi kwa kupiga kura, nchi ambayo Mwenyezi-Mungu ameagiza yapewe makabila tisa na nusu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Musa akawaamuru Waisraeli: “Gawanyeni nchi hii kwa kura kama urithi. Mwenyezi Mungu ameagiza kwamba itolewe kwa yale makabila tisa na nusu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Musa akawaamuru Waisraeli: “Gawanyeni nchi hii kwa kura kama urithi. bwana ameagiza kwamba itolewe kwa yale makabila tisa na nusu, Tazama sura |