Hesabu 33:53 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC53 nanyi mtaishika hiyo nchi kuimiliki na kuishi humo; kwa kuwa mimi nimewapa ninyi hiyo nchi ili mwimiliki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema53 Mtaichukua nchi hiyo na kukaa humo kwa sababu nimewapeni muimiliki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND53 Mtaichukua nchi hiyo na kukaa humo kwa sababu nimewapeni muimiliki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza53 Mtaichukua nchi hiyo na kukaa humo kwa sababu nimewapeni muimiliki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu53 Mtaimiliki nchi hiyo na kukaa huko, kwa kuwa nimewapeni ninyi kuimiliki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu53 Mtaimiliki nchi hiyo na kukaa huko, kwa kuwa nimewapeni ninyi kuimiliki. Tazama sura |
ya kuwa utafukuzwa mbali na wanadamu, na makao yako yatakuwa pamoja na wanyama wa mwituni, nawe utalazimishwa kula majani kama ng'ombe, nawe utanyeshewa na umande wa mbinguni, na nyakati saba zitapita juu yako; hata utakapojua ya kuwa Aliye Juu ndiye anayemiliki katika ufalme wa wanadamu, naye humpa yeye amtakaye, awaye yote.